Majibu yanayoniboa ninapochat na mtu kwenye simu

🀣🀣🀣 ni mazoea tu mzee ....nikikuandikia msg 10 labd 5 tu nd utaelew au kuung manen
 
Yaani tena bora iwe ni mwanamke lakini unakuta ni lijamaa linajibu. .xant,2ta,pw.pa1..

Mapimbi kama hawa ata kama namdai siwezi kuendelea kuchat nae maana ni kichefuchefu!
 
Dah...ni kweli wanaboa....ila chukulia kama ukumbushwaji kuwa umeanza
kuzeeka .... ukweli mchungu[emoji41]
 
Yaani tena bora iwe ni mwanamke lakini unakuta ni lijamaa linajibu. .xant,2ta,pw.pa1..

Mapimbi kama hawa ata kama namdai siwezi kuendelea kuchat nae maana ni kichefuchefu!
kuna fundi wangu m1 wa umeme namkubali sana ki ukweli na ndio msg zake..ananiboaga hajui tu
 
Ungesoma stylistics and communication in english language usingepata shida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…