Majibu yangu kwa Baba Askofu Stephen Munga kuhusu Bandiko lenye kichwa cha habari kisemacho "CHADEMA JITAFAKARINI"


Tatizo lenu hamtaki kukosolewa, ila mnapenda kukosoa wengine, huyo Munga ni mtu wenu kabisa sasa kaona mapungufu upande wenu na kwa kuwa akili imeanza kumludia sasa mnanuona kanunuliwa, hivi mnafikili kama ana akili kichwani atawaamini tena? Maana swala la kununuliwa limekuwa ajenda yenu, sasa atajua yote mnayosema sio kweli ni uongo maana mmemsingizia hata yeye.

Niliwahi kusema humu kama kweli askofu anapenda kushauli mambo ya kisiasa afanye balance na upande wa pili [upinzani] sasa kafanya balance mnamgeuka na matusi au kejeli, nadhani upinzani bado hamko sawa mjitafakali sana.
 
Ndugu, tumekosolewa tumejibu hoja, umbogo wetu uko wapi hapo mkuu?

Hutakiwi kujibu hoja unatakiwa kurekebisha mapungufu yaliyoonekana, kujibu hoja ni kupingana na hoja, tulitaka kuona andiko lako linalosema mutatekeleza hayo mapungufu over.
 
Mkuu nisamehe, sijibizani na Maaskofu, ninajibu hoja ya Dr Munga, hoja yake sio waraka wa kitume, ni hoja ya wazi ya kijamii na mimi ni sehemu ya jamii hiyo. Nimekosea?
Mkuu Yericko, sijasema umekosea, Askofu ni kanisani kwake, kwa imani yake na waumini wake, ila yeye pia ni binadamu hivyo anapokuja kibinaadamu anajibiwa kibinaadamu, ndio maana hata Muadhama Policarp Kardinali Pengo aliwahi kutukanwa!.

Kwa vile maaskofu ni watu wa Mungu na wana wafuasi wengi, unapomjibu ni lazima kwanza ujiridhishe una uhakika 100% unachojibu uko right.
mfano kwenye hili

Mkuu Yericko, nimekusoma mahali, kuwa Chadema haijawahi kukanyaga kifungu chochote cha katiba yake na unamuita Askofu muongo kwa kuongea uongo wa mchana, una uhakika ni hili?

Utaratibu wa kufukuza uanachama Chadema unatawaliwa na kifungu No. 5.4.6
Tangu Chadema ianze fukuza fukuza ya wanachama wake, jee kuna hata mara moja utaratibu huu mmewahi kukifuata?

Na kwa faida ya wasiofahamu utaratibu wa kufukuza wanachama kwa mujibu wa katiba ya Chadema ni huu

QUOTE="Pascal Mayalla, post: 5404773, member: 17813"]
  • Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA, ili kumvua mtu uanachama kuna mlolongo wa kanuni na taratibu za kufuatwa na miongoni mwake ni hizi nitakazo ziorodhesha hapa chini, jee zilifuatwa?.
  • Kuandaa Hati ya Mashtaka kwa maandishi yenye tuhuma zote ambazo mtuhumiwa anakabiliwa nazo. Jee hati hizi za mashitaka kimaandishi ziliandaliwa?.
  • Hati hiyo ya mashitaki kimaandishi inatakiwa ikabidhiwa kwa mtuhumiwa kwa "despatch" ili kuthibitisha imemfikia, jee hili lilifanyika?, nimesikia kuna watu waliitwa kwa simu, jee huu ndio utaratibu kwa jambo zito kama hili?.
  • Mtuhumiwa atatakiwa kuzijibu tuhuma za mashitaka hayo ndani ya kipindi cha siku 14 tangu tarehe aliyopokea barua ile ili apate muda wa kutosha kutafakari, jee hili lilifanyika?.
[/QUOTE]
Jee uliwahi kufuatwa?. Unamuita Askofu muongo labda akuthibitishie hili?!, kweli?!
P
 
Aisee..
Akisema CCM mnamsapoti ila kawageukia mmeanza kuweweseka.
Naunga hoja mkono baba askafu yuko sahihi
 
Pascal Mayalla,
Je, uliwahi kufuatwa?. Unamuita Askofu muongo labda akuthibitishie hili?!, kweli?!
NyongeA. Na swala la kubadilisha kifungu cha ukomo wa madaraka je kilishajadiliwa na kupata maamuzi ya vikao vyote ya chama na kwa uwazi? Je kwa nni kilalamikiwe kama kilikuwa halali? Swala la nafasi ya mwenyekiti kuwa ni sawa na kuonja sumu je ni sumu ipi inaonjwa hapo?
 
Pascal Mayalla,
Bado na wewe unafanya kosa lilelile la Askofu Munga, unajibu hoja hii kihisia wakati inahitaji uhalisia (fact), Inatakiwa utoe mfano hai kwamba mwanachama flani alifukuzwa bila kufuata utaratibu huo... Sasa unaleta hoja ya jumlajumla ambayo kimsingi inakosa mashiko....
 
kipande,
Ndugu, kuhusu kugombea kwa Mbowe ni takwa la kikatiba, unataka tuvunje katiba kwakumzuia mwanachana asigombee?
 
Dr Munga huyu huyu kipenzi cha wanaCHADEMA ndiye kaamua "kuwasanua".

Kweli atakuwa siyo mnafiki kama walivyokuwa wakituambia wenyewe!

CHADEMA jifunzeni kutokuwatukana wakosoaji wenu na wachambuzi wa siasa wanaowaambia ukweli msioupenda,wajibuni kwa hoja tu kama hivi wengine ukosoaji wao ni wa nia njema tu!
 
Yericko Nyerere,

Fallacy.

CHADEMA mnazingatia demokrasia gani nyie? wakati katika kumchagua kiongozi wenu Mbowe huwa hamzingatii demokrasia mnaenda kinyume na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ibara ya 20(2) (e) ipo wazi kwamba lazima uchaguzi ufanyike kwa vipindi na uzingatie demokrasia.

Ila kulingana na mazoea katika chama chenu hakuna ukomo wa Uongozi.Hivyo uchguzi wenu huwa hauzingatii misingi ya demokrasia bali you are always fooling Tanzanians.
 
Niseme tu ukweli, chadema ina wanachama wajinga sijapata kuona.
Munga ametoa hoja zenye mantiki zinazofikirisha lakini ataambulia matusi kama hivi, na yeye amelisema maana anajua mashabiki wa Mbowe ni watu wa aina gani.

Kiukweli sijui Lowasa alifikiria nini kutegemea chama chenye watu wajinga kiasi hiki kwamba kitampeleka ikulu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Siasa za chadema huwa zinachekesha sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au takwimu za ccm na idadi ya wanachama wake ilifanywa na nani ?, labda atujuze.
 
Mkuu nisamehe, sijibizani na Maaskofu, ninajibu hoja ya Dr Munga, hoja yake sio waraka wa kitume, ni hoja ya wazi ya kijamii na mimi ni sehemu ya jamii hiyo. Nimekosea?
Mkuu nimesoma between the lines...hivi ndivo majibu ya kisomi yanatakiwa kuwa hivi..Wenye akili watakuelewa ila Paskali wengi Hua hawamuelew mandiko yake ni ya kufikilisha unaweza ona anakushambulia kumbe anawashambulia wengine!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Even a distinguished person like a Bishop can manifest himself in the image of a cheap merchandise up for sale the way weird politicians do...!!!
 
Jee uliwahi kufuatwa?. Unamuita Askofu muongo labda akuthibitishie hili?!, kweli?!
P
Bado na wewe unafanya kosa lilelile la Askofu Munga, unajibu hoja hii kihisia wakati inahitaji uhalisia (fact), Inatakiwa utoe mfano hai kwamba mwanachama flani alifukuzwa bila kufuata utaratibu huo... Sasa unaleta hoja ya jumlajumla ambayo kimsingi inakosa mashiko....
[/QUOTE]
Mkuu Yericko, unataka tuanze kutaja majina humu, au kwa vile unajua kuwa mimi nilimzimikia yule dada cheupe na nikampigania sana hadi humu, hivyo unauliza majina ili nimtaje watu wanijue nilivyo mdhaifu kwa watu fulani fulani?, no simtaji yule, tuanze na Zitto akiwa NKM wa Chadema
1. Mamlaka ya nidhamu ya NKM ni ipi?
2. CC ya Chadema ilipomfukuza, ulitumia mamlaka gani kwa mujibu wa katiba ya Chadema?.
3. Mtu kujiunga na chama anajiunga kwa barua na kufukuzwa kwa barua, find out from Chadema, kama kuna any letter on record ya kumvua Ziito uanachama?.

P
 
Shida yenu hamtaki ushauri au kukosolewa na mnataka msifiwe tu,matokeo yake ni kuwa mtabaki na akina Lema ,Bulaya(CCM) na shoga wake Halima,Sugu,Msigwa, na wapambe wengine wa Dj Mbowe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…