Majibu yangu kwa Baba Askofu Stephen Munga kuhusu Bandiko lenye kichwa cha habari kisemacho "CHADEMA JITAFAKARINI"


Re post from Stephen Munga:

Majibu mazuri. Nilitaka kuandika juu ya jambo rahisi kwa lugha rahisi. Nadhani wanasiasa wanapenda sana kupata "to win public opinion". Sababu kubwa hasa ni kwa sababu hao ndio wapiga kura. Hupiga kura kulingana na uelewa wa mambo ulivyo.

Mambo yanayotokea yanaathiri mtazamo wa watu juu ya CHADEMA. Najua kwamba huko ndani mnajua mambo yalivyo lkn watu huguswa na kile wanachokiona na kukisikia. Kwa hiyo nimeshauri katika mtazamo rahisi sana na wa kawaida ili nieleweke kwa makundi yote.Tena narudia kusema kama nilivyojibu kwa wengine kuwa nimetoa ushauri rahisi sana.
 
Hakika hili si bandiko LA mtaalamu na msomi,
Mtaalamu huandika andiko kwa hoja ama kwa kuonyesha tatizo kwa takwimu au ushahidi kama laa eleza hoja yako huku ukitoa room ya wasomaji kudetect the wrongful na rightful of the certain group u refer, lakini tonapobaki kwenye hisia na uoga huikosesha akili kufikiri kwa mizania na kwa lengo LA kundisha au kuonya, pia kueleza ubaya na uzuri WA kundi kimantiki.

Dr. WA falsafa na telojia pia mchungaji WA watu daima huzungumza kwa mizania ili kuwafundisha na kuwaonya maana wote n wake ila unapokosa uchaji WA Mungu katika utendaji wako kama askofu , unatuaminisha we no kiongozi WA dini mwenye kutetea maslahi ya kundi Fulani.

Samahani

Ila kwa pengo tulisema amekosea kusema maoni binafsi yenye kukinzana na uhalisia.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeanza vizuri kuelezea kwamba hauwajibii Chadema nilitegemea utatoa mawazo huru ... kwani huwezi kujibu hoja bila kufanya reference yanayofanywa na ccm kama Ccm hawafati misingi ya demokrasia maana yake Chadema nao wasifate ...?
 
Kwahiyo ulitaka tumchague Sumaye au Mwambe? Sasa nini maana ya democrasia? Kwahiyo unatupangia mtu wa kumchagua na mtu wa kumtoa?

Umekula maharagwe ya wapi weye?
 
Ni vizuri kukubali kusikia hata yale yasiyotupendeza. Dr. Munga ametoa maoni yake ambayo tofauti na nyakati zingine hayakuwa ya kupendeza kwa Chadema. Asijibiwe kwa jazba wala ushabiki. Wakati mwingine ni vizuri kutafakari hayo yanayosemwa na kurekebisha pale inapowezekana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…