Majigambo ya Humphrey Polepole na V8 ndiyo yaliyochagiza ununuzi wa magari ya kifahari kwa Ma-DED na Taasisi nyingine

Tatizo lilianzia kwa hp. Ni sawa na abiria waliomshambulia dereva aliyetaka kuwagonga wamekamtwa kwa kujichuk!lia Sheria mkononi. Lkn DC aliyechapa watu viboko yeye hajajichulia Sheria mkononi.
 
CCM inaingiza zaidi ya sh bilioni 55 kwa mwaka na ina uwezo hata wa kununua ndege bwashee!
Ccm iingize zaidi ya 55b kisha ishindwe hata kukarabati ofisi na viwanja ilivyopora kibabe toka mfumo wa chama kimoja? Tembelea viwanja na ofisi za ccm hapa nchini uone zina hali gani, kisha ulete mrejesho.
 
Chakelele mna kazi kweli CCM na Serikali yake inawauma kweli Wivu tu hamna lingine lolote hapo
 
Hahahaaaa unanikumbusa "vietee"
 
Ndiyo nini sasa ulichoandika yani wewe umekuwa kenge kabisa
Chadema mna kazi kweli hasira za nn sasa mpaka matusi yaani baada ya kupigwa kipigo Cha Mbwa mwizi kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 na uchaguzi mkuu 2020 , mmepagawa kabisa mpaka mnaongea lugha zisizo na staa.Shame on you Chadema
 
Huyu hapa
Your browser is not able to display this video.
 
Chakelele mna kazi kweli CCM na Serikali yake inawauma kweli Wivu tu hamna lingine lolote hapo
Wivu uko wapi, tunataka maded walionunua mav8 waachiwe na kuendelea kazi Kwan kiongozi wao HP ndiye aliyehamasisha hawa wanaonewa tu wamefuata wakubwa zao kwa kupenda starehe kwa fedha za umma
 
Ngoja niulize swali la kizushi kama vile mwanafunzi wa Form One, "Je hivi unatakiwa usome kombi (combi) gani, ili mtu uweze kuwa DED wa wilaya na ku-enjoy hayo magari Ma-VXR ? "
Uwe na ujasiri wa kumtangaza mshindi mgombea wa Ubunge CCM hata kama kapata kura 1 na mpinzani kapata kura 67000
 
Kwani Magufuli alipokuwa akisema, "DED nimekupa gari, nyumba na mshahara then umtangaze mpinzani" alimaanisha gari gani? Kwa nini hakufafanua? ma DED pondeni raha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…