Majigambo ya vijana wa Arusha

MKUU HUJUI KUJENGA HOJA... UKO TOO PERSONAL ZAIDI...jaribu kukaa na kufikiria namna ya kutengeneza hoja yenye mashiko kuliko kuja na hoja za kitoto eti ugoro na kuoza meno kitu ambacho ni 'nonsense', kwa anaejielewa hawezi kuongea utumbo huu
Unapoteza muda mkuu, huyu siku zote hujibu utumbo, hajielewi ni jitu la ovyo sana
 
Acha hizo mambo arifu chuga haiko kwere kbs kila mtu na mambo zake!
 
Ukisema Arusha,utakua umewaonea wana wa Arusha kwa ujuma ,hiki kitabia kipo karibia kila mkoa kwa baadhi ya watu mfn Wahaya,Wajita,Wamasaai,wajaruo.
 
nlichokigundua ni kuwa vijana kutoka Dar wakiwa popote hujiona kuwa wao ndo bora na kamwe wao ndo kilakitu kwamba wanatokea Tanzania(Dar) hivyo unakuta makelele mingi swag za kischana kulamba lamba lips kubana sauti katika maongezi r anaweka l

sasa kwa mtu kutoka chuga anakukaushia tu kispot pamoja na makelele na swag zako za kischana hii ni tofauti na wa maeneo mengine ambao hukubali kudharauliwa

nyie baadhi vijana wa Dar (sio wote )#badilikeni sisi hatuna dharau
ni tabia zenu tu ndo hatutaki Arif keep it real ~ OG
 
Katika pitapita zangu yaani sekondari na chuo nimekuja kugundua vijana wa arusha ni watu wa maringo sana na dharau nataka kujua wadau hili linasababishwa na nin
Nenda jukwaa la habari mchanganyiko uone kwenye thread ya ARUSHA HALISI ILIVYO NA WATU WAKE.Utajua...
 
Hahaha. Ni hisia zake zimechanganyika na kutojiamini.

Cats born and raised in Arusha are cool with anything or anybody that's authentic. We're proud of where we come from, therefore we bow down to no one.
you bow down to no one except for money
 
Machaliii wa arusha hawanaga mambo za kushobokea watu wala mtu wako busy na mambo yao no shobo sio kama machizi wa Dar upambe mwingi na machoko kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…