Kulingana na experience yangu Arusha kuna vibe la jiji sana kwa kuzingatia yote ulioweka hapo juu...kitu pekee kinaitofautisha na Dar ni kwamba Dar ni kubwa kimaendeleo by far kutokana na uwepo wa nguvu kubwa ya serikali na hq za makampuni binafsi nk