Ni kweli....lakini kwa mchanganuo ufuataoTatizo la Dar ni udini...
Ni kweli....lakini kwa mchanganuo ufuatao
1) UDINI = unachangia tatizo kwa 45%
2) USWAHILI (unaoshabihiana kidogo kwa tabia na (1) hapo juu) = unachangia tatizo kwa 30%
3) MASLAHI (wafanyabiashara wakubwa - wengine mnawaita wahindi, etc) = yanachangia tatizo kwa 15%
4) MASLAHI (middle class ambao wameridhika na ku-possess vijigari, vijijumba, etc) = yanachangia tatizo kwa 10%

Tatizo na "upwani - uswahili". Mswahili siku zote kama anaweza akauza nazi mbili akanunua chakula na akabakiwa na hela kidogo ya kahawa na kashata kwake inatosha kabisa. Ukitaka uamini angalia matokeo then linganisha na majimbo yake Kinondoni, Ilala, Temeke, Kawe, Ukonga, Ubungo n.k. Waswahili wengi wapo majimbo gani????
Si rasmi kwa vigezo vya research methodology.umefanya utafiti ndo ukapata huo mchanganuo kwa %?? naweza nikakubaliana na wewe kwa kutaja tu hizo class lakini usiziweke kwa % km hazijafanyiwa utafiti.
hiyo ni kweli kabisaTatizo la Dar ni udini...