Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,442
Hii kitu kwanza sasa hivi makampuni makubwa yangetakiwa kuingia ubia na mvumbuzi, jamaa anahitaji platform, hawa ndiyo ma genius wa kujivunia.Yaani ugunduzi mkubwa namna hiyo ambao unatakiwe uwe umewekwa kwenye world recored tangu 2013 picha hiyo ilipopigwa mpaka leo hakuna mtu anayejua huduma yako? mwanza wamemaliza misitu yoote ya geita kwa ajili ya mkaa nimekwenda mwanza nimetembelea maduka yooote, maonyesho kuanzia nane nane , sabasaba, wajasiriamali na veta sijawahi kuona bidhaa yoyote ya aina hii... au ni idea ?
It gives great joy kusikia maneno murua hivi kutoka kwako. Ni innovation ya mpwa wangu nadhani zaidi anahitaji kuwa linked tu.Hii kitu kwanza sasa hivi makampuni makubwa yangetakiwa kuingia ubia na mvumbuzi, jamaa anahitaji platform, hawa ndiyo ma genius wa kujivunia.
Jamani, umejaribu kwenda VETA kuona kama utapata msaada wa kuboresha kidogo design?It gives great joy kusikia maneno murua hivi kutoka kwako. Ni innovation ya mpwa wangu nadhani zaidi anahitaji kuwa linked tu.
Ni kazi ya mpwa wangu nilimpeleka mpaka kwenye maenyeshobya SIDO na akachukua namba moja kwa kuwa na bidhaa bora na best innovation na wao wakakiri kwamba its the best product they have ever came across.Jamani, umejaribu kwenda VETA kuona kama utapata msaada wa kuboresha kidogo design?
Umesema kitu kikubwa saana mkuu, inaweza kuwa kama M-PESA ilivyokuwa awali watu waliignore ila as time goes on watu waliielewa ila mpaka watu walipopaza sauti na kuisuport brandy.Tuanze watu wa JF kumuunga mkono...
Its simple saana unaweka mawe yako yale ya kusugulia miguu manne yenye vitobo vitobo kwenye jiko yanauzwa mia tano kila moja na utatumia kwa miezi zaidi ya saba, mpaka kuisha kwake.HOW IT OPARATE ?
HOW MUCH PER SET..
TOA MAELEZO KWA KINA..!
"""Its simple saana unaweka mawe yako yale ya kusugulia miguu manne yenye vitobo vitobo kwenye jiko yanauzwa mia tano kila moja na utatumia kwa miezi zaidi ya saba, mpaka kuisha kwake.
Ukitaka kuwasha kuna switch za kuwashia taa pale (Angalia kwenye picha utaona) ukiweka on ndio tayari moto unawaka unaanza kupika comfortable kabisa.
Bei yake nitamconsult mpwa wangu ndie mzalishaji mkuu. Ila ni affordable saana kulingana na kipato cha mtanzania.
Hongera sana Mkuu kwa Mpwa wako kufanya ugunduzi bora kabisa na itafanikiwa maana hapa Africa tunavipaji vingi sana kumbe itafikia muda hakuna kuagiza bidhaa nje ya inchi maana wavumbuzi wanapatikana hapa Tanganyika ni kiasi cha kuwaunga mkono tu Safi sana.Umesema kitu kikubwa saana mkuu, inaweza kuwa kama M-PESA ilivyokuwa awali watu waliignore ila as time goes on watu waliielewa ila mpaka watu walipopaza sauti na kuisuport brandy.
Shime shime wana JF pelekeni mbele hii fahari ya Tanzania.
Made in Tanzania.
Huyo Mpwa wako akupe maelezo ya kitechnical zaidi ....Its simple saana unaweka mawe yako yale ya kusugulia miguu manne yenye vitobo vitobo kwenye jiko yanauzwa mia tano kila moja na utatumia kwa miezi zaidi ya saba, mpaka kuisha kwake.
Ukitaka kuwasha kuna switch za kuwashia taa pale (Angalia kwenye picha utaona) ukiweka on ndio tayari moto unawaka unaanza kupika comfortable kabisa.
Bei yake nitamconsult mpwa wangu ndie mzalishaji mkuu. Ila ni affordable saana kulingana na kipato cha mtanzania.