hamza mahundu
Member
- Dec 20, 2018
- 58
- 116
- Thread starter
-
- #21
JIKO NI LA UMEME LINALOTUMIA MFUMO WA KISASA WA INDUCTION , UNAODHIBITI MATUMIZI YA MAKUBWA YA UMEME.Hapan sio kweri
JIKO NI LA UMEME LINALOTUMIA MFUMO WA KISASA WA INDUCTION , UNAODHIBITI MATUMIZI YA MAKUBWA YA UMEME.Tupe elimu iyo induction ni nin?
JIKO LA MKOPO. 40700/=
Okoa gharama ya gesi na mkaa. Ivisha maharage Kwa Tsh 350 tu.
Umeme kidogo , okoa muda jikoni
Tutafute kwa namba
Whatsap. 0620135671
Call and sms 0620135671
JIKO NI LA UMEME LINALOTUMIA MFUMO WA KISASA WA INDUCTION , UNAODHIBITI MATUMIZI YA MAKUBWA YA UMEME.nasikia unit 1 inatumika lisaa 1 .sasa ilo lisaa moja unapika nini
Bei ya jiko moja ni 274520/= ila tutanatoa kwa mkopo, kwa kianzio Cha shilingi 40720/= tu unapata jiko lako, pamoja na sufuria 2 na kikaangio kimoja..Bila mkopo ni bei gani?
Umeme kidogo? Tuelimishe
JIKO NI LA UMEME LINALOTUMIA MFUMO WA KISASA WA INDUCTION , UNAODHIBITI MATUMIZI YA MAKUBWA YA UMEME.Tuambie yanakula UNIT 1 ukitumia kupika asubuh mchana na jion mchele inamalizika baada ya muda gan
Hilo jiko kwanini wewe unauza bei kubwa hivyo? , mimi niliyakuta singida vijana wanazunguka kufanya marketing bei ya jiko hilo ni 90,000/ + sufuria moja .Bei ya jiko moja ni 274520/= ila tutanatoa kwa mkopo, kwa kianzio Cha shilingi 40720/= tu unapata jiko lako, pamoja na sufuria 2 na kikaangio kimoja..
Kisha , kias kilichobakia utakilipia kidogokidogo ndani ya wiiki 50, Kila week utalipia 4676/=
JIKO NI LA UMEME LINALOTUMIA MFUMO WA KISASA WA INDUCTION , UNAODHIBITI MATUMIZI YA MAKUBWA YA UMEME.
👉🏼jiko linapika haraka na kuivisha haraka zaidi ya gas na mkaa
👉🏼linatumia mfumo wa kisasa na ni jiko la ku touch kama simu Yako ya smartphone
👉🏼Ni rahisi kutumia
👉🏼unawez uka set muda wa kupika na kikaivisha chakula vzr
👉🏼unit moja TU itakusaidia kupika chakula , Cha Milo yote ya siku..
👉🏼karibu saana
👉🏼tuwasiliane 0620135671
✊NI RAHISI KUTUMIA
Kampuni yetu haiko singida . Kwa Tanzania ipo dsm na mwanza tuHilo jiko kwanini wewe unauza bei kubwa hivyo? , mimi niliyakuta singida vijana wanazunguka kufanya marketing bei ya jiko hilo ni 90,000/ + sufuria moja .
Unit 1 Kwa familia ya watu 4-7 utatumia kupika chakula Kwa muda was sku Moja kw Milo yte 3Tuambie yanakula UNIT 1 ukitumia kupika asubuh mchana na jion mchele inamalizika baada ya muda gan
Bei ya jiko moja ni 274520/= ila tutanatoa kwa mkopo, kwa kianzio Cha shilingi 40720/= tu unapata jiko lako, pamoja na sufuria 2 na kikaangio kimoja..Ukitoa elimun tag me na nitakuwa mteja wako wa haraka sana
Hili nalo neno 🤣🤣🤣Sema kwa umeme wa tanesco si tutakufa na njaa...
Hiyo laki2+ ni kwa jiko hilo lililopo kwenye picha?Bei ya jiko moja ni 274520/= ila tutanatoa kwa mkopo, kwa kianzio Cha shilingi 40720/= tu unapata jiko lako, pamoja na sufuria 2 na kikaangio kimoja..
Kisha , kias kilichobakia utakilipia kidogokidogo ndani ya wiiki 50, Kila week utalipia 467
✊NI RAHISI KUTUMIAJana nmetoka kuchemsha maharage kwenye umeme. Fresh tu umeme unaenda kawaida tUkitoa kufuata Mkumbo, Kutumia umeme kupika ni nafuu kuliko Gas na mkaa
u.6/=IA
Ondoa hiyo jiko linapika haraka na kuivisha haraka zaidi ya gas na mkaa badala yake sema jiko lina wastani wa moto mzuri zaidi ya jiko la gas na mkaa.Bei ya jiko moja ni 274520/= ila tutanatoa kwa mkopo, kwa kianzio Cha shilingi 40720/= tu unapata jiko lako, pamoja na sufuria 2 na kikaangio kimoja..
Kisha , kias kilichobakia utakilipia kidogokidogo ndani ya wiiki 50, Kila week utalipia 4676/=
JIKO NI LA UMEME LINALOTUMIA MFUMO WA KISASA WA INDUCTION , UNAODHIBITI MATUMIZI YA MAKUBWA YA UMEME.
👉🏼jiko linapika haraka na kuivisha haraka zaidi ya gas na mkaa
👉🏼linatumia mfumo wa kisasa na ni jiko la ku touch kama simu Yako ya smartphone
👉🏼Ni rahisi kutumia
👉🏼unawez uka set muda wa kupika na kikaivisha chakula vzr
👉🏼unit moja TU itakusaidia kupika chakula , Cha Milo yote ya siku..
👉🏼karibu saana
👉🏼tuwasiliane 0620135671
✊NI RAHISI KUTUMIA
hii bei hii bwana Hamza274520/=
Kwa hali ya umeme ilivyo sasa, hata ukiwa na jiko la umeme ni lazima pia uhakikishe una jiko la gesi liko standby la sivyo utalala na njaa mpaka ukomeHili nalo neno 🤣🤣🤣
YaahHiyo laki2+ ni kwa jiko hilo lililopo kwenye picha?
Mwambie pia wewe unauza kwa mkopo...Kampuni yetu haiko singida . Kwa Tanzania ipo dsm na mwanza tu
Kampuni ziko nyingi..
Na viwango no tofauti pia
Majiko yetu Yana ubora.. na Yana viwango vilivyothibitishwa.Ondoa hiyo jiko linapika haraka na kuivisha haraka zaidi ya gas na mkaa badala yake sema jiko lina wastani wa moto mzuri zaidi ya jiko la gas na mkaa.
Wapishi watanielewa.
NimelipokeaOndoa hiyo jiko linapika haraka na kuivisha haraka zaidi ya gas na mkaa badala yake sema jiko lina wastani wa moto mzuri zaidi ya jiko la gas na mkaa.
Wapishi watanielewa.