1.Nunua hydrogen peroxide, vijiti vya masikio, pamba na quadriderm cream.
2.chovya pamba ya kijiti cha masikio kwenye hydrogen peroxide halafu safishia sikio halafu chukua kijiti kingine kwa ajili ya sikio jingine. Unaweza kutumia hata vijiti 2 Kwa kila sikio hadi uchafu wote utoke.
3. Halafu chukua vijiti vikavu kukausha masikio.
4. Paka hiyo cream kwenye kijiti na uingize ndani ya sikio. Hakikisha dawa imeingia ndani ya sikio na ni ya kutosha.
5. Zina masikio na pamba kuhakikisha dawa haitoki. Hopefully itakuwa imeingia vizuri basi unaweza kutoa hizo pamba baada ya muda.
6.Unapotaka kwenda kuoga,ziba masikio na pamba halafu paka mafuta hizo pamba mafuta ya mgando ili maji yasiingie.
7.Toa pamba baada ya kuoga.
8. Rudia zoezi la kusafisha masikio na kuweka dawa baada ya kama wiki moja au siku 3 kadiri utakavyoona dawa inavyo respond. Ukisikia kuwashwa ndani ya sikio jua kunakauka.
Nimekuandikia experience yangu tu. Kwa ziada unaweza kumuona daktari wa masikio.