Kisiya Jr.
Senior Member
- Nov 21, 2011
- 102
- 29
Ufanye maamuzi magumu amekucheat? Kasoro za kimaumbile ndio zikufanye umwache? Hujui huo ni unyanyasaji? Tafuta suluhisho!
Wajameni mwenzenu huyu mama enu mdogo kusema kweli nampenda sana,wakati tulipokua tunaanza mwaka jana mwezi kama huu nilikua natamani mda wote nile raha tu.
Ila ana tatizo la kutoa majimaji ya daah... Kwa uzoefu wangu unapozidi kula tunda hasa kama umevaa helimeti maji yanakauka haraka sana. Lakini hapa ni tofauti,unapozidi kula ndo hayakauki hadi mwisho
Naombeni ushauri na msaada hasa akina mama mnipe uzoefu wenu,maana karibia nafanya maamuzi magumu hali ikiendelea kuwa tete.
Wanaume bwana ikiwa kavu shida,ikiwa majimaji shida!mkuu maji unatakiwa uyakaushe wewe kwa mipigo
shukuru munguWajameni mwenzenu huyu mama enu mdogo kusema kweli nampenda sana,wakati tulipokua tunaanza mwaka jana mwezi kama huu nilikua natamani mda wote nile raha tu.
Ila ana tatizo la kutoa majimaji ya daah... Kwa uzoefu wangu unapozidi kula tunda hasa kama umevaa helimeti maji yanakauka haraka sana. Lakini hapa ni tofauti,unapozidi kula ndo hayakauki hadi mwisho
Naombeni ushauri na msaada hasa akina mama mnipe uzoefu wenu,maana karibia nafanya maamuzi magumu hali ikiendelea kuwa tete.
Wajameni mwenzenu huyu
mama enu mdogo kusema kweli nampenda sana,wakati tulipokua tunaanza
mwaka jana mwezi kama huu nilikua natamani mda wote nile raha tu.
Ila ana tatizo la kutoa majimaji ya daah... Kwa uzoefu wangu unapozidi
kula tunda hasa kama umevaa helimeti maji yanakauka haraka sana. Lakini
hapa ni tofauti,unapozidi kula ndo hayakauki hadi mwisho
Naombeni ushauri na msaada hasa akina mama mnipe uzoefu wenu,maana
karibia nafanya maamuzi magumu hali ikiendelea kuwa tete.
Taulo~ ni kifaa au aina ya nguo itumikayo kukausha maji mwilini.Ndugu tumia iyo kitu kukabiliana na tatizo lako.
Nakutakia utekelezaji mwema.
hapo huwezi pata ngwengwe mkuu.kavu ni rahisi kuchubuka
mkuu hii maada ilishajadiliwa. nenda jukwaa la kikubwa utaikuta. mia
Wajameni mwenzenu huyu mama enu mdogo kusema kweli nampenda sana,wakati tulipokua tunaanza mwaka jana mwezi kama huu nilikua natamani mda wote nile raha tu.
Ila ana tatizo la kutoa majimaji ya daah... Kwa uzoefu wangu unapozidi kula tunda hasa kama umevaa helimeti maji yanakauka haraka sana. Lakini hapa ni tofauti,unapozidi kula ndo hayakauki hadi mwisho
Naombeni ushauri na msaada hasa akina mama mnipe uzoefu wenu,maana karibia nafanya maamuzi magumu hali ikiendelea kuwa tete.
chukua muda mrefu ktk maandaliz yake