Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Majimbo yameanza mchakatao wa kumshtaki raisi Trump kutokana na utitiri wa amri za kiraisi ambazo amezitoa tangu arudi madarakani.
iiliyoyaudhi majimbo hayo ni uamuzi wake wa kumpatia bilionea na mshirika wake,Ellon Musk funguo za kufikia malipo ya wafanyakazi wote katika serikali ya Marekani.
Shirika la Ellon Musk lijulikanalo kama DOGE limepewa na Trump jukumu la kupitia kuangalia mwenendo wa malipo na kupunguza bajeti za serikali yake.