WapoKumbe huko nako kuna wahuni kama wa CCM?
Ndio hao 19 States wanaogopa kaa la moto, Trump anawalipa kwa kufunua nyashi zaoKumbe huko nako kuna wahuni kama wa CCM?
Mchuma janga hula na wa kwaoMajimbo yameanza mchakatao wa kumshtaki raisi Trump kutokana na utitiri wa amri za kiraisi ambazo amezitoa tangu arudi madarakani.
iiliyoyaudhi majimbo hayo ni uamuzi wake wa kumpatia bilionea na mshirika wake,Ellon Musk funguo za kufikia malipo ya wafanyakazi wote katika serikali ya Marekani.
Shirika la Ellon Musk lijulikanalo kama DOGE limepewa na Trump jukumu la kupitia kuangalia mwenendo wa malipo na kupunguza bajeti za serikali yake.
19 states sue Trump, Treasury to halt DOGE access
Ngoja Trump awanyooshe bila huruma maana walimchagua wenyewe huku wakizifahamu vyema tabia zake.