Elections 2010 Majimbo ambayo upinzani umezulumiwa waziwazi

JIWE2

Senior Member
Joined
Sep 17, 2010
Posts
125
Reaction score
18
Yafuatayo ni majimbo ambayo dalili zinaonyesha kuwa matokeo yamechakachuliwa ili kuipa CCM ushindi ingawa wapinzani walishinda;

1. Shinyanga mjini
2. Sumbawanga mjini
3. Mbozi Magharibi
4. Bukoba mjini
5. Tandahimba
6. Karagwe
7. Kigoma mjini
8. Kilombero
9. Segerea
10.Geita
11.Kibaha mjini
12.Tarime
13.Arumeru Magharibi
14.Babati vijijini
15.Mvomero
16.Njombe magharibi

Inaendelea,mnakaribishwa kuongezea.....
 
Haya majimbo inabidi yakombolewe ngazi kwa ngazi
 

Kwa hiyo una maana kuwa kura za hayo majimbo uliyoyataja zingeenda kwa slaa angeshinda? Au unaongelea kura za ubunge?
 
i dont know about bukoba mjini (kagasheki was very strong there) but defenetely magu
 
Kwa hiyo una maana kuwa kura za hayo majimbo uliyoyataja zingeenda kwa slaa angeshinda? Au unaongelea kura za ubunge?
atakuwa anaimanisha Ubunge mfano Shy mjini eti CCM wameshinda kwa kura moja na msimamizi hajulikani alipo mpaka sasa kwani kabla ya kutanga matokeo ya CCM kushinda alisha tangaza kuwa Chadema wameshinda gafla akabadili..
 
[wa hiyo una maana kuwa kura za hayo majimbo uliyoyataja zingeenda kwa slaa angeshinda? Au unaongelea kura za ubunge]


Kwenye majimbo hayo nililenga hasa kura za Ubunge. Kwa kawaida kura za Urais na Ubunge haziwezi kutofautiana sana kwenye jimbo moja. Inaelekea National-wise uchakachuaji umefanyika kwa kiasi kikubwa zaidi kwenye kura za Urais.
 

Temeke
Babati Vijijini..
 
hayo majimbo chadema wameporwa ubunge na CCM
 
mijitu mizima haioni aibu kiuba kura

haya majamaa sijui yakojeeee?/ yanaboa kama nini
 

songea mjini nayo wamechakachua..
 
No comment nahisi ntajishushia credibility manake muendako siko jamani
 
Ukiangalia kwa makini, majimbo mengi ambayo chadema wameshinda ilihitajika nguvu kubwa kutoka kwa wananchi kushinikiza matokeo yatolewe hata kukesha watu walikesha. Vp kwenye majimbo ambayo umma haukujitokeza kwa nguvu na idadi kubwa?
 
Hivi siredo duh mie simo imejaa matusi ya nguoni nimeamiamini kwa nini JK anaomba vyombo vya habari vimsaidie kutibu majeraha kwa ni wazi kwa kunyang'anya haki ya wananchi wengi wana hasira si kifani...
 
Kuna kajamaa fulani huku kana avatar ya mwanaume aliyevaa kihereni naomba nimtukane jamaniiiiiiiiiiiii Ni KAS**GE fulani hivi. Sijui ni nani anakab**hua humu. @#$@$$^$#$$&^^
 
Mbona lwakatare wa bukoba alikubali kushindwa? Au hamumwamini?
 

Jimbo la mvomero nalo ccm walichakachua ili kumnusuru mshika mikoba wao amos makala. Nimeambiwa chadema walikuwa wameshinda.
 
zile zilikuwa ni kelele za wavuta bangi, kawaambie mama zako wajaribu kuanzia kesho, hali itakuwa tofauti na wakati wa tulikuwa tupo kwenye uchaguzi.
POINT TAKEN!!!😎
 

Wengine wakiwashwa basi hutakiwa kukunwa, Mod toa lau saa moja tufungue akiba zetu kibindoni...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…