Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,110
- 5,010
Mods rekebisheni hicho kichwa kisisomeke kama cha shule ya msingi Jang'ombe.Kuna taarifa kwamba wapo wabunge tayari wanasubiri kuapishwa. Hawana sababu yakufanya kampeni kwa sababu tayari wamepewa nafasi.
Haya majimbo wanayotegemea kuongoza naamini wapo wana CCM wanapanga kugombea?
Je wana umuhimu wakutumia nguvu kugombea? Wananchi wameridhia ? Wanafahamu majimbo husika?
Kuna taarifa kwamba wapo wabunge tayari wanasubiri kuapishwa. Hawana sababu yakufanya kampeni kwa sababu tayari wamepewa nafasi.
Haya majimbo wanayotegemea kuongoza naamini wapo wana CCM wanapanga kugombea?
Je wana umuhimu wakutumia nguvu kugombea? Wananchi wameridhia ? Wanafahamu majimbo husika?
Hapo itakuwa patashika mkuu,we nani ateme jimbo lake kirahiisi hivyo!!, Labda iwe kama kule nkasi.Kuna taarifa kwamba wapo wabunge tayari wanasubiri kuapishwa. Hawana sababu yakufanya kampeni kwa sababu tayari wamepewa nafasi.
Haya majimbo wanayotegemea kuongoza naamini wapo wana CCM wanapanga kugombea?
Je wana umuhimu wakutumia nguvu kugombea? Wananchi wameridhia ? Wanafahamu majimbo husika?
Kuna mgombea anayeweza kubishana na CCM?Kuna taarifa kwamba wapo wabunge tayari wanasubiri kuapishwa. Hawana sababu yakufanya kampeni kwa sababu tayari wamepewa nafasi.
Haya majimbo wanayotegemea kuongoza naamini wapo wana CCM wanapanga kugombea?
Je wana umuhimu wakutumia nguvu kugombea? Wananchi wameridhia ? Wanafahamu majimbo husika?
Wamegawanya ili kuwapa wale watakaokosa majimbo, hakuna atakayebishana na CCM, wanaogopa kufukuzwa uanachama.Majimbo ni Kigoma mjini (Zitto),Tunduru (Addo),Lindi (......) Pemba (ACT).................................................
Lakini kwa huku bara sidhani kama watafanikiwa kupewa hata jimbo moja.Maana wagombea wa CCM watamgomea Mama kuachia.