Elections 2010 Majimbo yenye utata mpaka sasa

Elections 2010 Majimbo yenye utata mpaka sasa

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
Wakuu hebu tulist majimbo amabayo yalikuwa na utata mkubwa wa kujaribu au kufanikiwa kuchakachua kura za Wadanganyika....

Mie naanza na 1. Shinyanga 2. Kigoma Mjini 3.....
 
Ubungo,Hai,Maswa,Ilemela,Kawe,Moshi Mjini,Mbeya Mjini,Rombo,Meatu
Wamechakachua sana
 
Ni kweli hali Monduli ilikuwa tata, jamaa kaponea tundu la sindano.
 
Back
Top Bottom