Majina 10 walioteuliwa kwenda kusoma china vigezo gani vimetumika?

dostum

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
215
Reaction score
110
:Serikali ya China imetoa Scholarship kwa serikali ya Tanzania kwa watu 10 kwenda kusoma masuala ya Oil na Gesi, Serikali kupitia Wizara ya Nishati na Madini imewateuwa watu kumi majina yao kama yafuatayo hapa chuni.

1) Erasma Rutachura - PhD

2) Abel Masanja - Msc

3) Beatrice Tubuke - Msc

4) Faustine Matiku - Msc

5) Alvin Mulashana - Msc

6) Kunugula Lwakutubi - Msc

7) Nigel Kimalo - Msc

8) Ansila Kiusa - Msc

9) Hebert Msangi - Msc

10) Victor Mangula - Msc
Hivi serikali siku zote huwa wanatumia utaratibu gani kwenye kuteuwa watu kwenda kusoma nje wanapopewa hizi Scholarship, maana kwenye hawa watanzania walioteuliwa ndugu zetu wa muungano kutoka Zanzibar hakuna hata mmoja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…