Majina ajira za Ualimu 2014 haya hapa

Majina ajira za Ualimu 2014 haya hapa

Status
Not open for further replies.

Brother James

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
233
Reaction score
172
Wanajamvi, kiambatisho kilichoambatishwa ni majina ya ajira za Ualimu kwa mwaka 2014 kwa wahitimu ngazi ya shahada ya elimu (Degree level) na Mikoa na Halmashauri walizopangwa. Niwape hongera wooote waliopata ajira ngazi hii.
Kwa wale wahitimu wa Stashahada (Diploma) na wale wahitimu wa A-stashahada(Certificate) waendelee kuwa na subira kwani naendelea kupakua majina yao kwa sasa moja kwa moja toka chumbani-TAMISEMI

====================================

OFISI YA WAZIRI MKUU TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA (OWM - TAMISEMI)

AJIRA MPYA YA WALIMU WA PYA KWA AJILI YA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI MWAKA 2013/14.


A: OFISI YA WAZIRI MKUU TAMISEMI I NATANGAZA ORODHA YA WANACHUO WAHITIMU WA MAFUNZO YA UALIMU KAMA IFUATAVYO:-

i. Wa limuwa Cheti (Daraja IIIA) kwa ajili ya shule za msingi 17,928

ii. Walimu wa Stashahada kwa ajili ya shule za sekondari 5,416

iii. Walimu wa Shahada kwa ajili ya shule za sekondari 12,677

Walimu hawa wamepangwa katika Halmashauri na shule za mazoezi za vyuo vyaualimu Tanzania Bara
.
B:Kila Mwalimu ( Ajirampya) atatakiwakuzingatiayafuatayo:-
1.Kuripoti tarehe 01/04/2014 kwenye ofisi za Wakurugenzi wa Halmashauri kwaajili ya kupangiwa vituo vya kazi na kuanza kazi.

2.Mwalimu atatakiwa kuwa na vyeti vyake halisi vyachuonaSekondari

3.Walimu ambao ni waajiriwa wa Serikali waliokuwa wanajiendeleza kielimu wanatakiwa kurudi kwa waajiri wao ili kuendelea na kazi.

4.Fedha za kujikimu za siku saba (7) na nauli kwa walimu wapya zimetumwa katika Halmashauri waliko pangwa walimu. Hivyo, kila mmoja aripoti katika Halmashauri aliyopangwa.

5.Mwalimu ambaye hataripoti ifikapo tarehe 10/04/2014 hatapokelewa Atena na atakuwa amepoteza ajira yake.

Ajira Mpya za Walimu Angalia Hapa
 

Attachments

UNLOCK, watu wanalist mikononi na list ya majina unayotaka itoke kupitia website ya WIZARA YA ELIMU ndio hii hii, ukiona jina lako halimo tambua kuwa huna ajira ndugu yangu,hiyo itakuwa imekula kwako
Mbona kwenye website ya moe hayapo bana achen kuzingua watu..
 
Ndibalema, yawezekana upo sawa lakini kumwambia mtu majina yalitoka tangu jana na wakati huo huo link uliyoweka ndio ile inayosumbua kufunguka tangu jana utakuwa unakosea sana, nadhani mimi nipo sawa kuiita hii thread "breaking news" kwani ni watu wengi sana bado hawajapata wala kuiona hii list ya majina na tena mimi nimeweka attachment moja kwa moja tofauti kabisa na anayeweka link kwani links nyingi zinasumbua sana kufunguka, tena nyingi zina viruses.
Kama ww uliona mapema jana basi ungekaa kimya tu uwaachie wale wasiopata. Ila nimeangalia sana kwenye threads mbali mbali sijaona mtu aliyeweka attachment yenye majina kama nilivyofanya mimi zaidi zaidi utaona links ambazo nahisi kama hazifungukin

usiapproximate kuwa wengi hawajaona.....unauhakika????
Mi nimeona na washkaji wangu wengi washaona...na wapo jf!!
 
bampami, hapa issue sio kuona au kutooona, hapa issue ni kumpa taarifa mtu mwenye uhitaji, ligi unazoleta za kuona au kutoona ni utoto kwani kama ww na washkaji zako mmeona basi ni 1% tu, hembu tuwaachie ambao hawajaona please
usiapproximate kuwa wengi hawajaona.....unauhakika????
Mi nimeona na washkaji wangu wengi washaona...na wapo jf!!
 
Wanajamvi, kiambatisho kilichoambatishwa ni majina ya ajira za Ualimu kwa mwaka 2014 kwa wahitimu ngazi ya shahada ya elimu (Degree level) na Mikoa na Halmashauri walizopangwa. Niwape hongera wooote waliopata ajira ngazi hii.
Kwa wale wahitimu wa Stashahada (Diploma) na wale wahitimu wa A-stashahada(Certificate) waendelee kuwa na subira kwani naendelea kupakua majina yao kwa sasa moja kwa moja toka chumbani-TAMISEMI

Hii kitu haifunguki
 
Jaslaws, kumbuka kuwa Ualimu ndio fani mama, wacha watu waendelee kuipenda, pamoja na kuwa ni kazi isiyokuwa na malipo/maslahi mazuri ila ina exposure, kupitia ualimu wengi wao hufikia malengo yao ya kielimu, ndio maana wengi wa maprofesa ni walimu
Hivi na kelele zote za waalimu bado kuna watu wanatamani kua waalimu..?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom