Majina ajira za Ualimu 2014 haya hapa

Status
Not open for further replies.

Brother James

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2012
Posts
233
Reaction score
172
Wanajamvi, kiambatisho kilichoambatishwa ni majina ya ajira za Ualimu kwa mwaka 2014 kwa wahitimu ngazi ya shahada ya elimu (Degree level) na Mikoa na Halmashauri walizopangwa. Niwape hongera wooote waliopata ajira ngazi hii.
Kwa wale wahitimu wa Stashahada (Diploma) na wale wahitimu wa A-stashahada(Certificate) waendelee kuwa na subira kwani naendelea kupakua majina yao kwa sasa moja kwa moja toka chumbani-TAMISEMI

====================================

 

Attachments

UNLOCK, watu wanalist mikononi na list ya majina unayotaka itoke kupitia website ya WIZARA YA ELIMU ndio hii hii, ukiona jina lako halimo tambua kuwa huna ajira ndugu yangu,hiyo itakuwa imekula kwako
Mbona kwenye website ya moe hayapo bana achen kuzingua watu..
 

usiapproximate kuwa wengi hawajaona.....unauhakika????
Mi nimeona na washkaji wangu wengi washaona...na wapo jf!!
 
bampami, hapa issue sio kuona au kutooona, hapa issue ni kumpa taarifa mtu mwenye uhitaji, ligi unazoleta za kuona au kutoona ni utoto kwani kama ww na washkaji zako mmeona basi ni 1% tu, hembu tuwaachie ambao hawajaona please
usiapproximate kuwa wengi hawajaona.....unauhakika????
Mi nimeona na washkaji wangu wengi washaona...na wapo jf!!
 

Hii kitu haifunguki
 
Jaslaws, kumbuka kuwa Ualimu ndio fani mama, wacha watu waendelee kuipenda, pamoja na kuwa ni kazi isiyokuwa na malipo/maslahi mazuri ila ina exposure, kupitia ualimu wengi wao hufikia malengo yao ya kielimu, ndio maana wengi wa maprofesa ni walimu
Hivi na kelele zote za waalimu bado kuna watu wanatamani kua waalimu..?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…