Majina ajira za Ualimu 2014 haya hapa

Status
Not open for further replies.
Kwa wale walimu wote waliokuwa wanasubiria ajira mpya 2013/2014 tayari majina yako kwenye web ya TAMISEMI.Kajiachie mwenyewe uangalie mkoa na wilaya ulikopangwa kufanya kazi.

Samahani tena kwa usumbufu, naomba kupata mawasiliano na walimu wafuatao:

1.WILLIAM JOHN ( TEKU) kutoka Mbeya ambaye amepangwa Kagera, Bukoba mjini

2.TUNTUFYE KAPONERA
(TEKU) kutoka Mbeya ambaye amepangwa mkoa wa Kagera, Bukoba mjini.

3.JUMANNE SEIF (TEKU) kutoka Mbeya ambaye amepangwa mkoa wa Kagera , Bukoba mjini.

4.BOAZI LUSEKELO (SAUT) kutoka Mbeya aabaye amepangwa mkoa wa Kagera , Bukoba mjini.

5.ANDREW AMON (RUCO) kutoka Mbeya ambaye amepangwa mkoa wa Kagera , Bukoba mjhini.

6.REHEMA MWAKANGAL(AMUCTA) kutoka Mbeya amepangwa Kagera, Bukoba mjini.

Tafadhali kwa mwenye kuwa na mawasiliano yao au wao wenyewe tuwasiliane kwa simu namba 0756082356 au 0786088394 kwenye facebook ya JOSPIDE MAJABA,, e-mail: majabajospide@gmail.com.

Mimi ni MWALIMU JOSPIDE MAJABA , Ahsanteni sana wapendwa na natumai mtanisaidia mawasiiano ni kwa nia njema sana
 
Hujajibu swali,hiyo mitambo imeanza kufanya kazi lini.mwaka huu ama.manake watu wamebadilisha sana majina ya kati

Mwaka jana kubadilisha jina la kati inasaidia sana vinginevyo mshahara hupati.
 
Nawatakia Ajira na uwajibikaji katika kuelimisha na kutoa taaluma kwa vijana mkiwa darasanimsiishie tu kuchat Fb, whatsapp, viber, wakati vipindi vinaendelea darasani. Pia msianzishe miradi ya ubuyu na karanga kwa kuwatumia wanafunzi kuuza bidhaa hizo, wapeni elimu iliyo bora.
 
aksante mkuu! but sina p.c. NAOMBA UMUANGALIE HUYU-TUMAINI B. CHAULA-STASHAHADA-NITUPIE 0765432283,au nishtue nikupgie!

hahahaha! makuku Rey ntakumis ujue! Vipi bamdogo hajakwambia kama mshahara wetu unaingia lini?
 
Last edited by a moderator:
Kwanza hongereni kupata post zilizosubiriwa kwa hamu kubwa licha ya mizengwe za hapa na pale lakini hatimaye yametimia.

Naomba kwa mwalimu yeyote ambaye amepangwa mkoa wa KAGERA, Manispaa ya Bukoba(BUKOBA MJINI) angehitaji kubadilishana na mwalimu kutoka JIJI LA MBEYA tafadhali tuwasiliane kwa simu namba: 0756082356 au 0786088394.SHUKRANI.


 
embu kafanyeni kazi bhana, leo tu mlikua mnalialia hapa jukwaani kuhusu kupangwa leo mmepangwa mnataka kubadili, nenda kaexperience mazingira mapya ndo ukubwa huo,achana na kukaakaa karibu na mama
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…