Habarini za mwaka mpya wa serikali bandugu ba JF....
Hivi ukiachana na jina Lako unalotumia kwa social media au jina lako lingine la kizungu au kiarabu... Ni jina gani ulionalo la KIASILI ambalo unajivunia kuitwa ....
Ukiachana na Peter Mimi naitwa MTONDA..... wewe jina gan la asili unajivunia kuwa nalo