Old Member (Retired)
JF-Expert Member
- Sep 29, 2012
- 3,401
- 1,610
Hahahahahah imbombo ngafu
Kweli dar kuzuri,wacha nitafute nauli
Kweli dar kuzuri,wacha nitafute nauli
Duh, na wewe jina lako la mjini nani?
Mi najiita Alejadro (areandro)... wewe je?
ha ha ha ha
Angalia tu usiuze shamba.
Watoto wakali wenye majina makali...akikutamkia jina lake kwa lafudhi ya kizungu tu kitu kinaanza kusimama taaaratibu...Hatari sana hii sheikh
njoo mapema mkuu, unachelewa. Mi nilikuja na gari la ma-cabbage mpaka sitaki kurudi kijijini.