Omba majina Amina kawa Amayna,Naima,Clara na Rayyah! Kuna Tayana,Aneth hata bongo kuna Aaliya? Candy Nicole Uenice au labda Marayah.Sikitu hataki jina na Asia anaitwa Eshia
Mie nimetajiwa langu na la babygirl...
Vizia kipindi mvua zimeisha utauona mji mzuri sana....
Kipindi hiki mkuu utajuta..
Mkuu Dar ni nzuri sana kipindi ambacho hakuna purukushani za mvua.Kumbe kipindi cha kiangazi ndio kuzuri!!!
kheeeee sawa tu
so wewe ni msukuma unayeishi bongo au?
mkuu unapita pita hadi bar?Nifahamishen kwa hili.!!!
Jamani ktk pita yangu niliingia ktk pub moja iv ipo tabata nisgazwa na dingi mmoja ivi alipo kuwa akitaka bia orijino ,xaxa nilishindwa kuelewa bia orijino imaana gani???
Sasa kwanini hukumuuliza swali hili kwa staili ya papo kwa papo?Nifahamishen kwa hili.!!!
Jamani ktk pita yangu niliingia ktk pub moja iv ipo tabata nisgazwa na dingi mmoja ivi alipo kuwa akitaka bia orijino ,xaxa nilishindwa kuelewa bia orijino imaana gani???
so wewe ni msukuma unayeishi bongo au?
naona unamsema miss neddy wazi wazi.
Hapa kina Honey Faith nao watakuwa na majina yao spesheli.:becky:
heri wajomba kina NTU wametulizana na majina yao ya asili, teh..
Ndiooo.....mi sijamsema mtu Excel unataka kunisingizia
Basi njoo pm tufahamiane gete gete! wasukuma kumbe tuko wengi humu?:becky:
Nakungoja kwa hamu thana thana..
Njoo kabisa na nchele!
beautiful name rubi!
nimelizimia kiukweli...teh teh teh