Majina feki ya wasichana wa Dar

nimelizimia kiukweli...
one day turudi kule bariadi tukatengeneze michembe..!
Unaijua lakini we mtoto wa mjini?

naijua mie...uje bibi kaja juzi kaleta
 
Cjaelewa wakishajiita ivo ndo inakuw vp?
 
Mtu akiwa dsm anaitwa betty/beatrice kwa kifupi ila kijijini kwao ni Bitirisi

-Rich ni Richadii
 
Mademu wa kibongo sio mchezo amina kawa amayna rahima rahma kuna tayana Ali ......sikitu hataki jina na Asia anaitwa eshia
 
chanight---chausiku

fetty---fatuma

jenny---jeniroza
 
Candylicious sounds better.
How ar you handsome? (usivimbe kichwa leo Paw kaambiwa asishike simu)

Am well good. Almanusra nidondoshe simu!! Hivi hii ina-qualify kuitwa blind dating?
 
Last edited by a moderator:
Atupakisye ni jirani yangu kumbe akiwa Dar anabadili jina
 
Nyumbani/kijijin kwao anaitwaga NDELAMBO, KAMAMAAA, KIBIBIII na mengi kama hayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…