FFU - Fanya Fyoko Ucharazwe (Fanya Fujo Uone)
Pilsner - People In Love Should Never Entertain Romance
SAFARI LAGER- Sasa Angalia Falla Anaagiza Round Ingine Lakini Angalia Gharama Ewe Rafiki!
COCACOLA - Come One, Come All. Come One, Love All
Concept ya Chapa ya Konyagi
KONYAGI - Kaka Omari Nenda Yanga Angalia Gari Ipo?
(Jama moja alikuwa pale Mchikichini akamtuma kaka Omari kwenda kule klabu ya yanga kuangalia gari kama ipo, kwa vile kulikuwa na umbali basi Kaka Omari akainua mikono yake huku imeshika kwa pamoja, kumpa ishara kuwa Gari ipo)