Majina halisi ya watu mashuhuri

Hii vp?Federal Bureau of Intelligence(FBI);nitakutembelea kwa hiyo uliypopendekeza!

FBI yako ndiyo maana halisi...ila ukinitembelea kwa maana ya FBI yangu nitakupa kung-fu za kufa mtu! ha ha ha
 
The Top Ten list according to Michael H. Hart - The 100: A Ranking of the Most Influential Persons in History

This is his top ten.

1. Muhammad

2. Isaac Newton

3. Jesus Christ

4. Buddha

5. Confucius

6. St. Paul

7. Ts'ai Lun

8. Johannes Gutenberg

9. Christopher Columbus

10. Albert Einstein

The reason why, should be visited in this link below:

http://en.wikipedia.org/wiki/The_100
 
ALITALIA - Always Late In Take-off And Late In Arrival, Jamani siyo ATCL peke yake
 
Ruta - Rutahindurwa, Rutajama, Rutabingwa, Rutazengerela, Rutahizibwa, Rutatina, Rutakolezibwa, Rutahiwa, Rutaraka, Rutajuna, Rutayongezibwa, Rutakunilwa, Rutalala,........
 
Mhh jamani Coca Cola ni jina la mtu mashuhuri au Serengeti inaongea kwa kichwa yangu? kama nimajina halisi ya watu mashuhuri iwe hivyo, wala si virefu vya majina mashuhuri.
 
Mwalimu Nyerere (Julius Kambarage Nyerere - The late & 1st President of the URT)

URT - United Republic of TZ

TZ - Tanzania

Bizima Karaha (Bizimana Karahali - DRC foreign minister under the regime of Lawrence Kabila.

DRC - Democratique Repulic du Congo a.k.a Zaire

Bongo - Dar es Salaam :brick:

Bagamoyo - Bwagamoyo
 
Ruta - Rutahindurwa, Rutajama, Rutabingwa, Rutazengerela, Rutahizibwa, Rutatina, Rutakolezibwa, Rutahiwa, Rutaraka, Rutajuna, Rutayongezibwa, Rutakunilwa, Rutalala,........
.............Rutashobya...Rutak....
 
bob marley -robert nesta marley
 
JamiiForums = where we dare to talk crazly
 


Wamarekani wanamshutumu Obama kuwa amewadanganya kuhusu ukweli wa maisha yake. Na hata jina lake si Barack Obama, bali amekuwa akitumia majina mengi mojawapo ni hili hapa chini

Barack Obama (Barry Soetoro)
 
The Great Kanumba:= ..............Steven Charles Kanumba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…