Majina haya ukiyaita kwa kifupi ni matamu zaidi ya asali

Babumawe

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
2,556
Reaction score
2,571
Kuna majina ukiita kwa kifupi yananoga nyie acheni yaani hata kama unamtajia mtu hata kama hamjui au hajawahi kumuona basi atatamani amuone kwa jinsi jina lilivyo romantic, mifano hii hapa
Shunie --------- shuu
Paula --------- pau
Cocastic ------- cocs
Elizabeth -------- lizzy
Michael ----------mike
Christine --------Tina
Kennedy ---------Kenny
Evelyne ----------lyn
Nicholas ----------Niky
Judith-----------Judie

HEBU KILA MTU AFUPISHE LAKE TUONE; USIONE AIBU
 
Hata Babu mawe tukikuita mzee inapendeza[emoji23]
 
Mbona sioni majina ya waumini wa dini nyingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…