Majina kamili, Jinsia na Umri---- Maoni ya Katiba mpya

Majina kamili, Jinsia na Umri---- Maoni ya Katiba mpya

Daady

Member
Joined
Jul 22, 2010
Posts
64
Reaction score
19
Nimetafakari sana hili bila kuwa na jibu;

Hivi ni kwanini tunazuiwa kutoa maoni ya kuhusu katiba mpya bila kutaja UMRI, MAJINA KAMILI NA JINSIA???

Kwanini UMRI? kwanini MAJINA KAMILI? kwanini JINSIA?

Ni kweli ni vitu vya lazima?
 
Back
Top Bottom