Majina maarufu ya Kipare....!

Alafu wee Mtambuzi uneoka wa Vughweno ambu wala sikuelewaaa yaani wavoka duu madhinaaa aa henyu nkokuti hata Mmbaga na Kittuma wawaivaaa kana ?
 
Alafu wee Mtambuzi uneoka wa Vughweno ambu wala sikuelewaaa yaani wavoka duu madhinaaa aa henyu nkokuti hata Mmbaga na Kittuma wawaivaaa kana ?
Hai mndughu wangu, mi ni Mkwavi wa kula MESERANI ya Same, niteehia uko Kilomeni havo cacico

Mbwange urewedi nenzo
 
Last edited by a moderator:
mjema, maghembe, mshana, mbuji...nk nk nk
Acha Uzushi wewe Mwana Mpotevu kwanza sijui ulishadedi... Hakuna Mpare aitwae Maghembe huyo atakuwa kapewa jina hilo na Babu wa Mama yake Msukuma au Muikizu..
 
Umetaja Mengi but sio maarufu kivile kwani familia au koo zenye Watu wengi ndio hutoa Majina maarufu kwani uzao hutumia Sir name... Kama Kina Mbwambo ni Wengi sana ila hujawataja... Nadhani wewe sio Mpare labda ulisoma maeneo yao kidogo so umechukua Sir name za Uliosoma nao tu na sijui ulikuwa Kiranja...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…