Majina Makubwa Siyo Nyerere na Karume tu: Ni pamoja na hawa...

Juma Kilaza; Mbaraka Mwinshehe Mwaruka; Salum Abdallah; Rajab Khalfan; Issa Khalfan; Patrick Balisidya; Marijani Rajab, Moshi William TX; Joseph Maina; Selemani Mbwembwe; Athumani Momba; Hemed Maneti; Joseph Mulenga; Abdallah Gama; Michael Enock; Nguza Viking, Papii Kocha; Kikumbi Mwanza Mpango; Masia Radi; Ramadhani Mtoro Ongara; Moshi Mapili; Jerry Nashon Dudumizi; Shaaban Dede, Maalim Gurumo; Said Mabera; Suleiman Mwanyiro; Msafiri Haroub; Nico Zengekala; Fast Eddy Sheggy; Hamza Kalala; Kakere; Wema Abdallah; Zahir Ally Zorro;
 
Mtemi Ramadhan, Said John, Michael John, Erineo Mponzi, Hamis Thobias Gaga, Jamhuri Kihwelo
 

Siti binti Saad, Salim Abdallah, Shakila Said, Sharmilla, Bakari Abeid, Issa Matona, John Ondolo Chacha, Frank Haumplick.....
 
The home of Great thinkers!Kazi ipo.
 

Watanzania - wakulima na wafanyakazi, wana nafasi hapa?
 
naona mtu mmoja mmemsahau humoud mungu amlaze mahala pema peponi huyu ni maarufu sana na ndie shujaa wa tz alimuua karume dictater karume
 
nimekubaliana na wewe watajwe kwa kazi zao au mchango wao kwa taifa mimi naanza na nyerere aliwatesa sana watanganyika karume ameua sana znz aliwaua hanga othaman sharif ubwa jaha abdul nadhif jim ringo na wengi sana karume aliwaua
 
Nsia Swai, Ray C, Richard na Mwisho(big brother), Dudu Baya, Mr Nice, Banza Stone.

Muhaji Muki, Sembuli, Said Mwamba, Adolf Kondo, Semfukwe (CDA Dom), Tenende Ema,

SHEM Kalenga, Patrick & Ndyanao Balisidya, Makassy and Remmy Ongala, Matona etc.
 
Mwinamila, Mwinshehe Mwaruka, Mzee Mayagila, Mzee Morris Nyunyusa, Ndunguru mchoraji, Tingatinga.

My favourites: Ndumelakuwili, Sokomoko, Mzee Sani, Pimbi, Kipepe, Kifimbo cheza, wili Gamba, Sam, Lodi Lofa,Pwagu, Pwaguzi.
 
George Bush
Hii rafiki ni kiboko ya waislamu wote duniani, jamaa kawaba kibano cha kihistoria.
 
Charity begins at home...JF kuna majina makubwa pia....,
Wapo akina Mshiiri, Agika, Nyamayao, Bellindajacob, Fidel, Msanii, Mbu,MTM,X-Paster, Masanilo, Mwanajamiione,BAK, Zakumi,PrettyMchukia Fisadi,Invisible, Superman,Alien,Bluray,Mwanafalsafa1................endeleza list....
 
WoS, Nyani Ngabu, Yoyo, Maxshimba, Geoff .........................
 
Ni dhahiri Tanzania imehudumiwa na kuendeshwa kwa msaada wa wengi. Lakini tunapowaorodhesha ni vizuri tukataja kila mmoja alishiriki vipi. Wengi wetu JF ni wachanga na hatuwajui hao wote walifanya nini.
 
Wengine ni :-
Edward Mwangosi
Ali Ponda
Binti Matola
Enos Mwangoka

HAWA NI WAPAMBANAJI WA KUGOMBEA UHURU WA BENDERA WA TANGANYIKA TOKA ENZI ZA TAA MPAKA TANU.
 


...Pundamilia, hapo nilipopiga mstari umenikuna na kuna uwezekano kuwa path zetu zilicross miaka mingi nyuma!! Hio a.k.a ya Yusuf Abeid ya Y ni watu wachache mno na waliokuwa karibu naye wanaoifahamu. nakumbuka aliitumia miaka mingi sana nyuma, late 70s na early 80' wakati akiwa kijana mdogo pale Kigoma tukicheza pamoja kwenye timu za Kurugenzi Kigoma, RTC na ile timu ya Pamba ya mwanzo kabisa ya Kigoma ya akina Makumbi Juma, Juma Burhani wakati tukiwa vijana wadogo, marehemu Rashid Nigga na wengine!! Nisingeshangaa ungemtaja pia sentahafu marehemu Juma Mzee, yule wa Kigoma na mipigo yake ya 'Kusalimia watazamaji'! Asante Mkuu kwa kumbukumbu hii.
 


.... I have always suspected that with my mere 500 or so mitundiko, I was not that Big a Name in JF, at least to WoS. Now I know for sure...!😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…