Majina Makubwa Siyo Nyerere na Karume tu: Ni pamoja na hawa...


duh! naona umemsahau mohamed chuma. jezi yake namba 3 ipo makumbusho ya taifa hapa dar. aidha makumbusho ya taifa wameweka sehemu ya wanamichezo huko utakuta picha za wacheza wa gosage.
 
Asante Mwawado kutukumbusha haya majina ya baadhi ya wapigania uhuru, naomba tukiwataja, pia tusiwe tunasahau title zao, ili kuthibitisha jinsi walivyojioa na sasa hali ilivyo.
Baadhi ya Tile zao ni hizi

Sheikh Issa Mtambo Issa, Sheikh Thabit Kombo Jecha, Jaji Wolfang Dourado, Mzee Joseph Kassela Bantu, Sheikh Mwinjuma Ali Mwinyikambi, Chief Erasto Mang'enya, Alhaj Rajabu Chamshama, Sheikh Jumbe Tambaza, Kigono Chuma, Abasi Sykes, Sheikh Suleiman Takadiri, Bw. Robert Otieno, Kibacha Singo, Sheikh Mwinshehe Mtemvu, Sheikh Tewa Said Tewa, Bw. Yoeli Mtindi, Sheikh Saadan Abdul Kandoro, Dr William Mwanjisi, Salehe Masasi, Minja Kukome,Ramadhan Mashodo na Joseph Mamphombe.
Wengine ni Chief Adam Sapi Mkwawa, Sheikh Amri Abeid, Chief Chabruma, Chief Wanzagi Warioba, Bhoke Munanka, Mzee John Rupia, Alhaj Amiri Jamal, Dr. Leader Starring, Bibi Lucy Lameck bila kukasahau kabibi Miss Wickens
Pia sio vibaya kuwataja na wale waliowaunga mkono wakoloni wakiongozwa na Mangi Mkuu, Chief Thomas Marealle aliyepewa kasri katika jiji la London.
 
Pia tusiwasahau Pius Lugangira, Hatty McGee, Zacasria Hanspope, Capt. Kadego, na wenzao; hawa ni watu pekee katika historia waliojaribu kupambana na ufisadi kwa vitendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…