faru johnBaada ya kupigwa marufuku viroba vimepata majina mapya maeneo mbalimbali. Mfano mitaa kadhaa niliyotembelea nimebaini majina mapya ya viroba kuwa ni panadol, chachandu na 4G. Wewe mtaani kwako vinaitwaje?
Hii kalitigo rusha
Wako sawa maana hata faru john aliwahi kupigwa marufuku kuongelewafaru john
Wanaita mwendokasi labda kwasabb vinalevya harakaMwendokasi,Bashite
Hahahahahaa nilijua tu utaandika hivyoMwendokasi,Bashite