Majina matatu ya kiume yaliyobadilika na kuwa ya kike

Mfano kuna member anajiita DJ SEPETU nilizanigi ni shee kumbe ni me,am sory Mkuu popote ulipo ila Leo nimetoa utataa kidogo
 
Gentleman1 wolper [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Madada wamewazidi keti kaka zao.. Sasa kaka zao majina yao ya ukoo ni kituko.. Huwezi itwa Sepetu au Uwoya uka enjoy ur sir name..
Utajisikia raha ukiitwa
MBILINYI
HAULE
NNAUYE
MAKONDA
KIKWETE
MAGUFULI
OBAMA
MENGI
MAFURUKI
etc
 
aunt ezekiel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…