ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wasalaam wadau wa jukwaa,Naomba kutajiwa majina mazuri ya asili ya Wakinga ili niweze kumpa mtoto. Napenda majina ya kiasili kama njia mojawapo kuenzi utamaduni wetu Thank you in advance for your help