Kyachakiche
JF-Expert Member
- Feb 16, 2009
- 986
- 208
Ni kweli mkuu, ila mengine yanachekesha sana.Mkuu kila ID ya mtu hapa ina maana yake.....ukitaka muuliza kila mmoja na ID yake akwambie
Imekaa kama nini mkuu?Andika na ID yako maana imekaa kama ........
Hata mimi nimeambiwa hivyo mkuu ndo maana nikasema mengine yanachkesha sana.Kwa kukusaidia jamaa yangu mmoja amenambia kuwa Iteitei lya kitee inamaanisha Chupi/Bikini ya Mbwa... Labda wenye majina husika waje watuambie maana yake halisi.....
Kwa kukusaidia jamaa yangu mmoja amenambia kuwa Iteitei lya kitee inamaanisha Chupi/Bikini ya Mbwa... Labda wenye majina husika waje watuambie maana yake halisi.....
Acha masihara lini uliona mbwa amevaa chupi?Au unamaanisha ni chupi /bikini iliyotokana na ngozi ya mbwa?Kwa kukusaidia jamaa yangu mmoja amenambia kuwa Iteitei lya kitee inamaanisha Chupi/Bikini ya Mbwa... Labda wenye majina husika waje watuambie maana yake halisi.....
Hata mi nilitaka kusema hivyo hivyoAndika na ID yako maana imekaa kama ........
Hiyo ni lugha gani??
ni kichaga na kweli maana yake ni chupi la mbwa(itei tei lya kitee),kyachakiche...acha na ije../ na lolote liwe
Naona mmeishiwa sera VICHWANI nyie watu
Naona mmeishiwa sera VICHWANI nyie watu
mukide mtaalam usijaliMkuu, wakati mwingine vichwa vinahitaji ku-refresh, kuwaza mambo magumu kuila wakati unaweza kudata! yaani kidakika Membeee, Rostamuuu, Ufisadiiii, Bungeee! n.k
usijali, wazee hawa bado wako makini wameamua tu kufurahia majina ya kisanii hapa JF.
wow nimekupataMsanii usiseme hivyo sometimes we need to refresh,sio kila siku tu tunachangia mada nzito nzito,zikija kama hizi tunacheka tunafurahi na kupata burudani.