Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,375
- 6,958
MSINDIMA maana yake nini???
NGULI, Hao 'wazee' wawili wanaotembea hapo juu wananiacha hooi kabisa!, una visa ndugu yangu!
au mmojawapo ni wewe??
Japo natambua kuwa kutumia ID ni moja ya security ya mtoa/mchangia mada. Lakini nadhani JF imeshakuwa na kukomaa. Ifike siku kila mtu atumie jina lake kamili. Kwani kuna ubaya gani? Kama mbunge anaweza kusisimama na kuomba mungu awalaani mawaziri wazi wazi, sisi tunatatizo gani kusema hadharani (using our real identities).
I think this will add value to JF, tutoke kizani tuje peupe.
Acha masihara lini uliona mbwa amevaa chupi?Au unamaanisha ni chupi /bikini iliyotokana na ngozi ya mbwa?
Mkuu tafadhari naomba katika hawa waheshimiwa hapo juu wewe ni yupi?
HA!ha!ha! ha! Avatar nazo super burudani-hao wazee ni wabunge tena maarufu afya zao ni chanzo cha wembamba wangu...mimi ni mwembamba sana nawaza kila kukicha namna ya kupata utajiri wa kihalali ni shee na wenzangu na sio kupata fedha za uwizi uwizi matokeo unanenepa ka mdudu.
HA!ha!ha! ha! Avatar nazo super burudani-hao wazee ni wabunge tena maarufu afya zao ni chanzo cha wembamba wangu...mimi ni mwembamba sana nawaza kila kukicha namna ya kupata utajiri wa kihalali ni shee na wenzangu na sio kupata fedha za uwizi uwizi matokeo unanenepa ka mdudu.
nimekuwa najaribu kupitia list ya wanajf, hakika kuna majina ya kuchekesha sanaa kama si kufurahisha. Hivi ulishawahi kujiuliza nini maana ya haya majina? Kwa mfano hebu cheki haya na unipe maana yake:
1.itetei lya kitee
2.hadiyanayamboka
3.yo yo
4.hahanana
5.obhusengwe
6.gangilonga
7.nesindiso sir
8.pakupaku
9.gavskanky
10.
11.
12.
List inaweza kuendelezwa!
NGULI:ni kichaga na kweli maana yake ni chupi la mbwa(itei tei lya kitee),kyachakiche...acha na ije../ na lolote liwe
Mzizi:NGULI, Hao 'wazee' wawili wanaotembea hapo juu wananiacha hooi kabisa!, una visa ndugu yangu!
au mmojawapo ni wewe??
Mkuu ningekushangaa sana kama usingeleta usanii kwenye nyumba ya sanaa!!!mukide mtaalam usijali
wow nimekupata
nilikuwa nawachemsha tu wakuu!!!
Mkuu BUJIBUJI,gangilonga ni jiwe linaloongea..
Inasadikika kuwa pale iringa njini kwenye kilima cha maeneo ya mkuu wa mkoa kulikuwa na jiwe linalozungumza..
Ukiwa na shida ukienda kwenye jiwe hilo na kuziongea haja za moyo wako,
basi hilo jiwe hukujibu kwa sauti namna ya kutatua shida zako.
Te! te! te! te!.... sawa mkuu!!!Jana Mh. Zito Kabwe alisema sifuti kauli yangu na kyachakiche kutoka kwenye meza yako.....
I guess, it means as bad as KABURU for those days!Wakuu,
Kama mkuu mmoja alivyosema kuwa wakati mwingine tujiliwaze na mambo madogo kama haya......Hebu mtu a-guess langu linamaanisha nini?