Majina mengine jf!!!

Mkuu SnEafer,

Hujakosea sana ingawa hukupatia....Na hii yathibitisha kweli we ni SNEAFER!
Tangu utoto wangu nywele hazijawahi kuota. JITU=Kweli niko bold na PARATUPU=Kichwa changu hakina unywele hata mmoja tangu nizaliwe. Nashukuru zama tulizonazo sasa UPARA ni moja ya fashini. Enzi za AFRO nilikuwa najisikia vibaya mbele za watu. Me ndio PARATUPU.
 
Poa mkuu kwa kutuhabarisha, inafurahisha kwa kweli.
 
Nimekuwa najaribu kupitia list ya wanajf, hakika kuna majina ya kuchekesha sanaa kama si kufurahisha. Hivi ulishawahi kujiuliza nini maana ya haya majina? Kwa mfano hebu cheki haya na unipe maana yake:

3.Yo yo
lina maana saana.........mtu mwenye akili nyingi,busara na kadhalika......
 


Hii KANA KA NSUNGU imekaa kama vile Mwana wa Mzungu....just guessing
 
Hicho ni kichaga...lugha ya wenye nazo!??
 

ebbynature?????????????????????????
 
\No..nilimaanisha iteitei lya kite..!
 
Kuna mtu hapa anajikausha!! Jina lake KINDIMBAJUU. Sasa huyu sijui amepata wapi inspiration ya hili jina. Nimewaza nikaona mawazo yanaelekea kubaya.

HAPPY INDEPENDENCE DAY!!
 
Kuna mtu hapa anajikausha!! Jina lake KINDIMBAJUU. Sasa huyu sijui amepata wapi inspiration ya hili jina. Nimewaza nikaona mawazo yanaelekea kubaya.

HAPPY INDEPENDENCE DAY!!

Mkuu nimekurudisha nyuma tuu, ulipata maana?
 
Kwa kukusaidia jamaa yangu mmoja amenambia kuwa Iteitei lya kitee inamaanisha Chupi/Bikini ya Mbwa... Labda wenye majina husika waje watuambie maana yake halisi.....
hahahaaaaa!!! kite kabisa
 
Kuna mtu hapa anajikausha!! Jina lake KINDIMBAJUU. Sasa huyu sijui amepata wapi inspiration ya hili jina. Nimewaza nikaona mawazo yanaelekea kubaya.

HAPPY INDEPENDENCE DAY!!
Kindimbajuu hili ni jina la kijiji huko wilaya ya mbinga mbele kidogo ya kijiji kinaitwa Rwanda ukiwa unaelekea direction ya Lituhi. Hivyo inawezekana huyu jamaa anayejiita jina hili anatokea huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…