[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna siku mama mkwe alivaa khanga "Uzee mwisho Chalinze, mjini kila mtu babie". Sikumwelewa kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Langu takoni !!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]tehe tehe tehe nimemkumbuka mpoki juzi alikuwa anatuchamba wanawake wembamba, eti raha ya kanga maneno yote yasomeke, sasa sisi hatuna chura, tunazungusha kanga mara tatu, hata maneno ya kwenye kanga hayasomeki yote
DuuuuhhhhKama ya mumeo waiona mali, funga shingoni ulambe kama koni
Mkuu haya maneno pasua kichwa hata sijaamini, hapo lazima mume kichwa kikuume [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji123] [emoji123]Juzi kuna mtu nimesoma khanga yake inasema:-
Kama vyuma vimekaza Kiringo grisi anayo.
Shida kwa wanawake wasiokuwa na chura wanazungusha khanga mara sita maneno yote hayaonekani wankuwa kama wamevaa kanikiSikuhizi yale maneno ya 'mume ni wako akiwa chumbani'
Panua paja mkwaju waja
Shost danga langu niachie
Maneno haya hayauzi jamani, maneno yanayouzika ni kama:
Penzi la mama ni tamu
Kwa bwana kila goti litapigwa
Ninamwamini Mungu
jje's uko makini [emoji3] [emoji3] [emoji3]Edit mkuu post yako
Huyu kiringo sijui anaishi wapi nikamsakeJuzi kuna mtu nimesoma khanga yake inasema:-
Kama vyuma vimekaza Kiringo grisi anayo.
Mi nina doti 2 tu, zilizoandikwa hiviZako zimeandikwaje?
Hahaha sky bhana kwa hiyo ww ndo dafu hapo kwamba misimu yote uko barabarani unalika?Ya kwangu imeandikwa usidharau dafu embe tunda la msimu
Hahaha tundu [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Edit mkuu post yako
Hahaha ss hii nikukuta nayo si nakuvuta mkono tu najua unatakaHahahaaaaaa kuna moja mpaka nilikuwa naogopa kuvaa " kusema mtanisema kunitamkia hamuwezi "
Nenda kule visiwani anabaka watoto na kuwala tigo.Huyu kiringo sijui anaishi wapi nikamsake
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Na mama mkwe anakuvalia "utamaliza waganga mume halogeki"
asante tehe tehe tehe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole
tehe tehe teheDuuuuhhhh
Ubarikiwe mpendwa,na ukizipata uniambie zimeandikwaje, sawa mamii?Inabidi aisee huwa nazitamani sana kwa kweli. Ahsante kwa ushauri.