Majina na sifa zake;angalia jina lako kisha jipime ukweli ni asilimia ngapi

Mkuu hayo majina ni uongo mtupu, hapo jina langu umeandika ni mpole na anatulia na msichana mmoja kwa muda mrefu... Hahahahahahaha kabla sijaoa ingawa sijaacha nimepunguza tu, nlikua napanga wanawake hadi 11 na hakuna anaemjua mwenzie... Huo ni ubashiri wa uongo uongo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah ...ebana mbona wengine hayamo???😱😱
 
Hiyo orodha ni feki kwakua hata jina langu halipo.
Ipuuzeni siyo OG hiyo.
 
Unatafuta kiki tu na wala hakuna jipya kwenye hii mada..
 
zαmα zímєвαdílkα ndugu
 
Kuna baadhi y majina km manne, naweza kukuunga mkono
 

Afadhali, jina langu halimo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…