Majina na Tabia zake

MASTER VOICE

Member
Joined
Dec 16, 2010
Posts
7
Reaction score
0
Hello wana JF ktk tafiti mbalimbali zinaonyesha wazi majina tunayobatizwa au tunayopewa na wazazi hufanana na tabia ambazo tunakuwa nazo tukifika ukubwani.

Na hii hugundulika baada ya kulinganisha watu wawili watatu na kuwafanya sample ktk jina wanalofanana na baadhi ya majina huwa na sifa mbaya.

Mfano jina la ASHA watu wenye majina haya wengi wao huwa waongeaji saana,wapenda udaku na mengine mengi na kwa wa vulana jina la EMMANUEL- watu wenye jina hili huwa wapenda ugomvi na wenye sura za upole sana. Huu ni mtazamo wangu je wewe nipe majina mengine na tabia zake na ni je unakubaliana kuwa tabia zinaendana na majina?
 
agness na grace kwa asila jamani ni balaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Majina ya Michael wana tabia ya kuwa Nyota e.g.

Michael Jackson - Music

Michael Jordan - Basketball

Michael Schummacha - Formular 1

Michael Owen - Football

Michael Johson - Athletic

Mike "Iron" Tyson - Boxing.
 
Jackie kwa wanawake huwaga malaya sana alaf wazuri haswaa
Abuu huwaga malaya sana kwa wanaume..
Duh, siwezi kuthibitisha hapa ila Jackie wachache naowajua mie wanafanana na hizo tabia. Ila bado nadhani tusiwahukumu watu kwa majina
 
Yuda - Waongo
Samson - Wapole
Mateo, Matthew, Mathias - Viwembe
Sarah - ving'ang'anizi
Lameck - Wana adabu sana
Rose - wanajiona
Joshua - Wakarimu, watanashati
 
Ahahahahaaah vipi na haya majina yetu ya asili kama Mizengo, Paramagamba na mengine ya aina hiyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…