Majina na Tabia zake

akina Neema ni wapole kisha wacheshi sana.:teeth::teeth::whoo::whoo:
 
Shida,
Masumbuko,
Matatizo,
Tabu,

Usikosee kumpa mtoto wako majina haya maana maisha yake yote
ataandamwa na mikosi.
 
Nyamayao,

jina hili mara nyingi hutolewa na wazazi pale ambapo watoto
waliomtangulia huyu walifariki,na jina hili hutolewa kama ujumbe
kwa wachawi kuwa haya sasa tumewazalia nyama nyingine,na mara
nyingi watoto hawa huwa wanakuwa watu wazima bila ya matatizo
ya kiafya lakini tatizo lao kubwa huwa hawawezi kusema neno hapana
pale anapofuatwa na mwanaume,hivyo husifika sana kwa kugawa uroda.
 
Abuu: ni wacheshi sana, wanapenda kuongea ongea ila hawaboi.
Hidaya: wana huruma na hupenda kusaidia watu. Ni watu wanaopenda kujituma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…