M mabwepand Member Joined Jul 16, 2012 Posts 86 Reaction score 22 Aug 7, 2012 #1 Tunashangaa majina ya sensa wilaya ya hai hadi muda huu hawajabandika!!!!!Tatizo nini ufisadi au kukuchakachua
Tunashangaa majina ya sensa wilaya ya hai hadi muda huu hawajabandika!!!!!Tatizo nini ufisadi au kukuchakachua
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Aug 7, 2012 #2 Hakuna wilaya tanzania hii yenye watendaji wabovu kama wilaya ya hai.hapo wako wanachakachua kwanza