ndioNasumbuliwa na Dogo langu nashindwa kuelewa, je majina wanayotoa Utumishi kwa ajili ya kuwapangia vituo vya kazi,,
Je ? Yanahusiana na interview iliyofanyika mwezi wa pili mwaka huu?? Au ndiyo wanaokoteza tu? Mfano Kuna nafasi Account officer na internal Auditor, Hawa watu wanaowapangia vituo ndiyo wanawatoa huko ? Kwa watu waliyofanya interview February??
Mwenye uelewa plz
weka link tuone na kujikumbushaNasumbuliwa na Dogo langu nashindwa kuelewa, je majina wanayotoa Utumishi kwa ajili ya kuwapangia vituo vya kazi yanahusiana na interview iliyofanyika mwezi wa pili mwaka huu?
Au ndiyo wanaokoteza tu? Mfano Kuna nafasi Account Officer na Internal Auditor. Hawa watu wanaowapangia vituo ndiyo wanawatoa huko? Kwa watu waliyofanya interview February?
Mwenye uelewa plz
Link ipi? Kuna interview za LGA na MDA zilifanyika February mwaka huuweka link tuone na kujikumbusha
Sana kwanini wasingetoa tu pdf nzima ya LGA na MDA basihizi inyerview walipaswa watoe majina waliopita na kupangiwa vituo vya kazi kwa pamoja huu utaratibu wao wa kutoa majina nusu nusu unatia mashaka sana