Majina ya ajira Mpya za walimu!

kasinge

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2011
Posts
1,259
Reaction score
319
Wadau wan jf, kulikuwa habari kuwa majina ya ajira mpya za walimu yangebandikwa leo j5. Mimi nilijua ni kwenye websites husika. Lakini mpaka sasa hakuna. Mbali na kupigika kitaa, tungepende kuona majina yetu mapema tuanze kuomba nauli za kwenda huko sitimbi. Tupeane taarifa wadau. Naomba kuwasilisha.
 
Vuta subira mkuu yatakuja tu
 
Nikiyapata tu nitakuweka hapa ili hata wanaotumia simu waweze kuyaona
 
Yapo kwenye hardcopy, bado 2nashughulikia kuyaweka kwny softcopy! Tukimalza tu kuyaingza kitu kinarushwa hewan! Vuta subra kdg! Bt bahat mbaya ni kwamb km una supplmentar jna lako lnawekwa pending mpaka July ndo 2talichek kwa upya!
Source: MOEVT ofsin.
 
Haya kamateni majina hayo kwa PDF wale wa SIMU mtaniwia radhi!! Ya diploma na nwlinu-mahitaji maalumu sijaweka...............!! Hongereni sana,mkajenge taifa!! wenzangu nami tusio walimu SUBIRA YAVUTA KHERI
 
Attachments

Mkuu shukrani tatizo natumia ssimu usiku huu kama unaweza tuwekee wa simu
 
Haya waalimu ajira zimetoka ,msikimbie vituo vya kazi,mue wavumilivu
 
Wenye wito wakautumikie wito wao. Kila la kheri.
 
Walimu ndo watumishi obedient mithili ya mnyama punda,cjui kwann inakuwa hivi!
 
Haya kamateni majina hayo kwa PDF wale wa SIMU mtaniwia radhi!! Ya diploma na nwlinu-mahitaji maalumu sijaweka...............!! Hongereni sana,mkajenge taifa!! wenzangu nami tusio walimu SUBIRA YAVUTA KHERI
We ni noma. Shukrani sana nipo Kinondoni.
 
<br>
We ni noma. Shukrani sana nipo Kinondoni.
 
Hatimaye zile ajira walimu zilizosuburiwa muda mrefu zimetoka sasa hv..cheki www.moe.go.tz lakn files ni PDF wenye visimu tusaidien jaman!...
 
Tusaidieni tunaotumia cm jamani na ss tuone kwan tupo mbali sn na access za komputer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…