Majina ya Asili ya Kabila la wachaga

Hivi kuna KABILA LA WACHAGA jamani mana MOSHI INA kama makabila nane na yote hayaingiliani Hata kidogo.yaani WAMACHAME,wakibosho,wa uru kishumundu,wa old MOSHI,wamarangu n.k SASA hapo WACHAGA ndo wapi hapo na wanaishi sehemu gani hapa MOSHI KWETU. MIE ni wa west Kilimanjaro hapa boma ngombe njia ya kwenda dorcas

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JUZI NIMEONA MTU ANAITWA TUKULAMBA TUMPE HAPA MBEYA
 
What does number 115 mean? Meela


What does number 115 mean please? Meela
 

Hizi ni propaganda za muda mrefu sana. Kiukweli Wachagga ni kabila moja na wanahistoria inayoingiliana toka zamani sana. Kwa mfano ukoo wa Mangi Mandara wa Old Moshi, ni ukoo wa Tarimo. Ukoo huu huu uko sana huko Rombo. Na kuna mifano mingine mingi.
 
Nleterewa Nganengo na jje's naomba mje mniambie majina yenu ya asili[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Rashoseolokiaeli
Rumishaeli
Awumsuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…