Majina ya Asili ya Kabila la wachaga

wachaga wote hizo n forms of chaga
 
Hizi ni propaganda za muda mrefu sana. Kiukweli Wachagga ni kabila moja na wanahistoria inayoingiliana toka zamani sana. Kwa mfano ukoo wa Mangi Mandara wa Old Moshi, ni ukoo wa Tarimo. Ukoo huu huu uko sana huko Rombo. Na kuna mifano mingine mingi.
exactly
 
Mkuu umefanya kosa kubwa sana kuweka hayo majina hapa
Kifupi ni kwamba umewasaidia ma-ngosha kutufanyia screening na kutukata, siunajua wameshikilia mpini saivi
hawana uwexo huo watatoa kwenye nafasi za kuteuliwa na sii za kitaaluma waendelee kufukuzana na upepo
 
Shose
 
Kuna Kimario na kuna Kimaro. Naona Koo yetu ya Kimaro hujaiweka hapo. Pia kuna Sawe na Swai hii ni koo moja ila walifarakana ndio zikatengana na kuwa koo mbili.
 
Kuna Kimario na kuna Kimaro. Naona Koo yetu ya Kimaro hujaiweka hapo. Pia kuna Sawe na Swai hii ni koo moja ila walifarakana ndio zikatengana na kuwa koo mbili.
Sawe na Swai nani mkorofi ili tujue pa kuolewa?
Kimaro ni wamachame, kimario ni warombo.
 
Mbona umeacha jina maarufu la Mboro!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…