Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona maduka mengi Tanzania yana majina (mf. Mwajuma Electronics) lakini nasikia hawajasajili. Hii ikoje kisheria? Au ni makampuni tu ndio lazima yasajiliwe?
Kinachofanyika ni kuisajili biashara kwa kukamilisha kuwa na nakala ya Cheti cha usajili ambacho kinapatikana BRELA ambapo unaweza kusajili kama jina tu la biashara au ukasajili kuwa Kampuni kabisa na baada ya hapo kuna zoezi la kwenda TRA kupatiwa TIN ya biashara yako na kufanyiwa makadilio ya kulipa Kodi na watakupatia TIN certificate na Tac clearance certificate kisha utakwenda Halmashauri kwa ajili ya kuomba leseni ya biashara ukikamilisha vyote hivyo biashara yako itakuwa imekamilika kwa usajili.Naona maduka mengi Tanzania yana majina (mf. Mwajuma Electronics) lakini nasikia hawajasajili. Hii ikoje kisheria? Au ni makampuni tu ndio lazima yasajiliwe?
Kinachofanyika ni kuisajili biashara kwa kukamilisha kuwa na nakala ya Cheti cha usajili ambacho kinapatikana BRELA ambapo unaweza kusajili kama jina tu la biashara au ukasajili kuwa Kampuni kabisa na baada ya hapo kuna zoezi la kwenda TRA kupatiwa TIN ya biashara yako na kufanyiwa makadilio ya kulipa Kodi na watakupatia TIN certificate na Tac clearance certificate kisha utakwenda Halmashauri kwa ajili ya kuomba leseni ya biashara ukikamilisha vyote hivyo biashara yako itakuwa imekamilika kwa usajili.
Karibu sana kiongoziUmenena vyema kiongozi