Majina ya Biashara

Mudie

Member
Joined
Dec 1, 2016
Posts
6
Reaction score
4
Naona maduka mengi Tanzania yana majina (mf. Mwajuma Electronics) lakini nasikia hawajasajili. Hii ikoje kisheria? Au ni makampuni tu ndio lazima yasajiliwe?
 
Sasa mkuu ulitaka ukute hakuna jina kabisa[emoji1][emoji1][emoji1].....
 
Reactions: DVC
Kuna kusajili kampuni na kuna kusajili jina la biashara
Ila kuna wabobezi humu
Naona maduka mengi Tanzania yana majina (mf. Mwajuma Electronics) lakini nasikia hawajasajili. Hii ikoje kisheria? Au ni makampuni tu ndio lazima yasajiliwe?
 
Naona maduka mengi Tanzania yana majina (mf. Mwajuma Electronics) lakini nasikia hawajasajili. Hii ikoje kisheria? Au ni makampuni tu ndio lazima yasajiliwe?
Kinachofanyika ni kuisajili biashara kwa kukamilisha kuwa na nakala ya Cheti cha usajili ambacho kinapatikana BRELA ambapo unaweza kusajili kama jina tu la biashara au ukasajili kuwa Kampuni kabisa na baada ya hapo kuna zoezi la kwenda TRA kupatiwa TIN ya biashara yako na kufanyiwa makadilio ya kulipa Kodi na watakupatia TIN certificate na Tac clearance certificate kisha utakwenda Halmashauri kwa ajili ya kuomba leseni ya biashara ukikamilisha vyote hivyo biashara yako itakuwa imekamilika kwa usajili.
 
Umenena vyema kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…