Ambumbulwisye
Member
- Aug 3, 2013
- 41
- 3
Tafadhari wana jamii forum.com naomba msaada nataka kujua kama jina lang lipo katka wale wasiyo pata vyuo, jina nitumialo ni hilohilo la mwisho ni signature yangu iyo hapo chin yaan (asukile) ninaishi eneo baya sana kiasi kwamba ndiyo kwanza napata taarifa saizi