Ambumbulwisye
Member
- Aug 3, 2013
- 41
- 3
Tafadhari wana jamii forum.com naomba msaada nataka kujua kama jina lang lipo katka wale wasiyo pata vyuo, jina nitumialo ni hilohilo la mwisho ni signature yangu iyo hapo chin yaan (asukile) ninaishi eneo baya sana kiasi kwamba ndiyo kwanza napata taarifa saizi
Wakuu na mm naomb mnichekie dennis mwakibage
Hebu naomba mnichekie huyu ndugu yangu maana wamempeleka jkt "GRACE HERMAN MAHUNDI"
Kwani mnacheki wapi na sie tucheki manake list ni ndefu kidogo.....
hayupo